Hakuzuia Moto, Aliingia pamoja nasi.
Mungu anaweza asiondoe moto unaoupitia, lakini hataingia ndani yake na kukuacha peke yako. Katikati ya jaribu, tafuta uwepo Wake; Yeye huvunja vifungo na kutoa tumaini jipya. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
Makosa ya Jana Hayawezi kututenganisha na Mungu.
Do you need Hope, Peace or even just a new beginning?
There is still a reason to Hope.Mungu anaweza asiondoe moto unaoupitia, lakini hataingia ndani yake na kukuacha peke yako. Katikati ya jaribu, tafuta uwepo Wake; Yeye huvunja vifungo na kutoa tumaini jipya. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
ni sehemu ya mpango wa Mungu wa kurejesha nguvu, afya na tumaini letu. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa
Kristo bado anatupa nafasi ya kumkaribia.
Mungu bado anafanya kazi katika maisha yetu, Kila siku akitutafuta kwa ajili ya wokovu.
Unaweza Kuanza Upya Leo
Je umeshawahi kujiuliza nini hutokea tunapooomba?